Ben Komba/Pwani-Tanzania/2/8/2015 10:56:14 AM
Visa vya Mamba kuendelea kushambulia wakazi wa vijijiji vilivyopo kando ya Mto Ruvu vimekuwa tishio kwa wananchi wanaotegemea mto kwa ajili ya kilimo na maji kutokana na kuchukuliwa na kukoswa na mnyama huyo.
Mwenyekiti wa kijiji cha Ruvu Stesheni BW.OMARY KIDUNDA Amesema katika siku za karibuni kuna mama mmoja amekoswa koswa katika kivuko cha Kihembahemba alipokuwa anaosha embe zake katika mto huo, ndipo mara akaona kuna kitu kinajaribu kumrukia ili kumvuta mtoni lakini akafanikiwa kukimbia bila kupata athari kubwa.
BW.KIDUNDA amebainisha kuwa mamba hao wamekuwa tishio sio tu kwa binadamu hata mifugo hususan mbuzi na ng’ombe punde wanapokwenda kunywa maji.
Ameongeza kuwa pamoja na juhudi za serikali kuleta mabwana wanyama kujaribu kuwavuna imekuwa ngumu kupatikana kwani Mamba hao uwa hawaonekani na hivyo kuwafanya baadhi ya wananchi kuamini kuwa wana uhusiano na mambo ya ushirikina.
Naye mkazi mwingine BI.ASIA kwa upande ameshawahi kupambana na changamoto hiyo ya Mamba binafsi na kujikuta ikimgharimu kidole,na ameishauri serikali kuboresha huduma ya maji katika kijiji hicho kupunguza matumizi yenye kulazimu wananchi kwenda mtoni.
Diwani wa Kata ya Ruvu stesheni, CHARLES MWEKAMO amesema suala la wananchi kushambuliwa na Mamba haliepukiki kutokana na wananchi kutegemea mto huo karibu katika kila kitu kuanzia kilimo, maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na mifugo.
BW.MWEKAMO ameongeza kuwa wamechukua hatua mbalimbali ikiwa pamoja na kuripoti suala hilo halmashauri na mpaka wizarani,lakini pamoja na serikali kuleta wataalam wa wanyamapori hushindwa kuvuna wanyama hao kutokana na kibali kutolewa kipindi ambacho si cha uvunaji, wakati maji yanapokuwa mengi na hivyo kuathiri zoezi zima la uvunaji.
END.
VSP Group, my partner program. Get connected! https://youpartnerwsp.com/en/join?72003
Показать полностью
Свернуть
Похожие видео
Рекомендации для вас
01:52
ча ча ча
✿Лuлuя Потaчинa✿
475 просмотров
03:39
4А класс
Ульяновский район
3K просмотров
01:18
Ча ча ча
Надежда Третьякова
443 просмотра
01:30
4А
Евгения Демина
530 просмотров
01:10
Ча ча ча уроки танцев !! С мастером спорта по бальным танц...
Ольга Пискарева (Балясникова)
1K просмотров
01:02
ча ча ча
Ольга Пожидаева (Калашникова)
413 просмотров
00:32
Ча-ча-ча от Алёны
Олеся Удалых
6K просмотров
51:23
ЧА. 13 т. ОТ
QazaQ Balasi
196 просмотров
00:39
4а
Шамиль Бедердинов
293 просмотра
04:09
ча ча
Татьяна Сидорова
13K просмотров
00:33
Михаил Боярский стал дедушкой в седьмой раз! 🎉
Дорожное радио
71K просмотров
00:22
Когда важна каждая деталь
Национальные проекты России
106K просмотров
05:56
Томленая Рулька – Тает во рту. Бюджетно, Вкусно, Сытно
Тихон Готовь и Путешествуй
381K просмотров
01:09
Учиться никогда не поздно!
Доктор Мясников
33K просмотров
01:10
Быстро убрать выпирающий живот поможет простое и доступное у...