Ben Komba/Pwani-Tanzania/22/07/2016 16:43:49
Wananchi mjini Kibaha wameunga mkono hatua ya Mkuu wa wilaya ya Kibaha, BIBI. ASSUMPTA MSHAMA kutembelea eneo ambalo linatarajiwa kujengwa soko la muda mjini Kibaha ili kwenda kujionea hali halisi kilichotokea eneo hilo ambalo hivi karibuni nyumba zilivunjwa kupisha ujenzi huo.
Mwenyekiti wa ACT-WAZALENDO Mkoa wa Pwani, BW. MRISHO SWAGALA amesema hatua ya mkuu huyo wa wilaya kwenda eneo hilo na kueleza ambavyo ilistahili kufanywa ili kuepusha migogoro kati ya serikali na wananchi.
BW.SWAGALA amesema ifike wakati watendaji wa serikali kufanya kazi zao kwa kuzingatia utu badala ya kutumia nguvu kubwa kuwanyong’eza wananchi maskini ambao hata nyumba walizonazo wamejenga kwa bahati.
Ameongeza kuwa watu wa ardhi ndio wanapaswa kuwajibika kwa kumuacha mtu anaanza kujenga na wenyewe kubariki ujenzi huo kwa kutoa kibali cha ujenzi ili hali ramani za mipango mji wanazo ofisini.
BW.SWAGALA amewataka watendaji kutumia nguvu na bunduki wakati wanapomuona mtu anajenga eneo ambalo halistahili badala kumngoja amemaliza ndipo wao waje wavunje na nguvu kubwa.
END
Показать полностью
Свернуть
Похожие видео
Рекомендации для вас
00:23
at "DC Books"
Soma Shekar
1K просмотров
1:03:38
act.E13
dilan ayvaz
12K просмотров
46:45
DTS-04
Eddie Flix ✨
42K просмотров
53:54
DC EP18
T A G K
1K просмотров
22:38
ACT-01x19
zamo Vm
30 просмотров
1:37:08
DDC-25-03-23-SeriesPE.com
Pedro Luy
140 просмотров
24:59
Dreadout Act 2 #1
293 просмотра
02:52
AC-DC - Thunderstruck
Москва 24
5K просмотров
04:27
AC DC Big Gun Transformers 2 3 Project
💥๏ԉ€г Ќ๏чн€β ♐
7K просмотров
03:51
ac-dc-stiff-upper-lip_143043
ROCK CLASSIC
2K просмотров
58:53
РАК ПРОСТАТЫ | КАК ИЗБАВИТЬСЯ ОТ ПРЫЩЕЙ | ЦЕНТР ЗДОРОВЬЯ | 1...
ЦЕНТР ЗДОРОВЬЯ
2M просмотров
11:36
Садовая закупка. Выбираем нектаный материал
Хобби каждый день
838K просмотров
05:56
Томленая Рулька – Тает во рту. Бюджетно, Вкусно, Сытно
Тихон Готовь и Путешествуй
375K просмотров
00:22
Когда важна каждая деталь
Национальные проекты России
97K просмотров
10:57
Голос. Четвертьфинал. Лучшие моменты выпуска от 10.04.2026
Голос
1M просмотров
02:09
Советы врача: осторожно бады!
Пенсионер ТВ
101K просмотров
00:33
Михаил Боярский стал дедушкой в седьмой раз! 🎉
Дорожное радио
58K просмотров
00:19
Христос воскресе!
Екатерина Весна
1M просмотров
00:09
А ВЫ ЗАМЕЧАЛИ ЭТО?
Стас Ай, Как Просто!
1M просмотров
01:36
Школа будущего в СЗАО- когда откроется новый корпус Курчато...