Ben Komba/Pwani-Tanzania/Thursday, July 18, 2013
Mkuu wa wilaya ya Kibaha BI.HALIMA KIHEMBA amewataka wakazi ambao wanasemekana kuvamia eneo la BW. MOHAMED SUMA kuondoka mara moja ili kutoa fursa kwa mmiliki kuliendeleza.
Akiongea na wakazi wa Mtakuja katika kata ya Pangani, BI.KIHEMBA ambaye ameshafika katika eneo hilo mara tatu katika suala zima la kujaribu kutafuta suluhu kati ya mmiliki na wakazi ambao wanasemekana wamevamia.
BI.KIHEMBA akisoma barua iliyotoka kwa kwa mmiliki wa shamba hilo, BW.MOHAMED SUMA ambayo imefafanua kuhusiana na watu ambao yeye amewakabidhi eneo la heka 16 kwa watu wanane kila mmoja heka 2.
Kwa hatua hiyo BI.KIHEMBA amewasihi wakazi hao kuondoka katika eneo hilo toka wanaokaa eneo hilo wanadai wamepewa bure hivyo amewataka nao kurudisha eneo hillo bure ili kuondoa usumbufu kwa ofisi yake.
Naye aliyekuwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mtakuja BW. LONGINO KASONTA amesema mzigo mkubwa anasukumiziwa yeye ilihali ambay amesababisha mtafaruku huo aliyekuwa mtendaji kata ya Pangani, BW.JAMES NOYA akiwa haguswi kabisa.
BW.KASONTA amebainisha kuwa mmiliki wa eneo hilo lenye heka 108, aliridhia binafsi kuto heka 16 kwa baadhi ya wananchi, Lakini bila kutoza fedha zozote, mambo yakabadilika mara baada ya mtendaji wa Kata kuhamishiwa hapo ambapo alianza kugawa eneo hilo kwa ada ya sh.20,000/=, kitu ambacho kilikuwa kinyume na matakwa ya mmiliki.
END.
VSP Group, my partner program. Get connected! https://youpartnerwsp.com/en/join?72003
Показать полностью
Свернуть
Похожие видео
Рекомендации для вас
00:23
at "DC Books"
Soma Shekar
1K просмотров
46:45
DTS-04
Eddie Flix ✨
42K просмотров
53:54
DC EP18
T A G K
1K просмотров
02:52
AC-DC - Thunderstruck
Москва 24
5K просмотров
04:27
AC DC Big Gun Transformers 2 3 Project
💥๏ԉ€г Ќ๏чн€β ♐
7K просмотров
03:51
ac-dc-stiff-upper-lip_143043
ROCK CLASSIC
2K просмотров
01:03
Washington DC CWALK Capitol
Dubstep Popping и др.
71 просмотр
03:42
AC-DC - Rock N Roll Damnation (from Live at the Circus Krone...
РОК, БЛЮЗ и его наследие
3K просмотров
03:31
AC-DC - T.N.T. (live, 1976)
SPIRIT OF ROCK AND BLUES
992 просмотра
03:25
AC DC - Shot Down In Flames (Official Video)
хитZona
5K просмотров
00:09
А ВЫ ЗАМЕЧАЛИ ЭТО?
Стас Ай, Как Просто!
1M просмотров
00:52
Сделай Сам 🌵СУККУЛЕНТЫ из Фисташковой Скорлупы
Поделки Своими Руками & Alesya Gor
968K просмотров
01:33
Запустит работу всех внутренних органов, улучшит работу позв...
Фитнес дома - упражнения для похудения и здоровья
912K просмотров
05:56
Томленая Рулька – Тает во рту. Бюджетно, Вкусно, Сытно