Ben Komba/Pwani-Tanzania/7/15/2015 11:19:52 AM
Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya Taifa Ya chama cha Mapinduzi kutoka Jimbo la uchaguzi Kibaha mjini, BW.RUGEMALIRA RUTATINA ametangaza rasmi kuwania kiti hicho cha ubunge ikiwa ni katika suala zima la kuwaletea wana Kibaha maendeleo.
Akitangaza nia hiyo mbele ya maelfu ya wakazi wa Kibaha katika tukio nadra sana kuvuta watu kutoka maeneo mbalimbali ya mji huu, BW.RUTATINA amesema kuwa yeye hana fedha za kugawa kama njugu lakini anazo mbinu za kumkomboa mwananchi wa kawaida kutoka katika lindi la umaskini.
BW.RUTATINA amewataka Watanzania hususan wakazi wa Kibaha kutokubali kununuliwa kwa jinsi yoyote ile ili kuepuka kuwekwa mfukoni mwa watu kwa kupewa shilingi 50000 kwa ajili ya kumchagua mtu kwa miaka mitano ya uwakilishi.
Mbunge huyo hakusita kuelezea shukrani zake kwa wananchi kutokana na kujitokeza kwa wingi kuja kushuhudia akitangaza nia pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanywa na baadhi ya watu katika chama kuzuia viongozi wa Kata na matawi kukatazwa kufika katika tukio hilo.
END.
VSP Group, my partner program. Get connected! https://youpartnerwsp.com/en/join?72003
Показать полностью
Свернуть
Похожие видео
Рекомендации для вас
06:24
PWANI WAHIMIZWA KUHARAKISHA MAENDELEO,big results now
0 просмотров
03:14
Waridi Beach 3 Танзания, о. Занзибар, Пвани-Мчангани
ТУРИЗМ И ПУТЕШЕСТВИЯ В ФОТО И ВИДЕО
559 просмотров
00:45
[Sub Español] BTS - Message for MCD to congratulate Mnet's 2...
BANG BANGTAN
1K просмотров
02:42
ACT WAZALENDO WAMPONGEZA DC KIBAHA KUHUSU BOMOABOMOA
0 просмотров
07:48
KAMPENI USAFI WANANCHI WAPAMBANA MGAMBO KIBAHA
18 просмотров
07:22
UVCCM KIBAHA YAHIMIZA UTALII WA NDANI
43 просмотра
01:29
[A message for MCD to congratulate Mnet's 25th anniversary!]...
Purple Armys
1K просмотров
07:11
MGOGORO WA ARDHI KILUVYA A, KUNA KITU KIMEJIFICHA KISARAWE....
2 просмотра
08:58
[ROSAS RUS SUB] [151021] SEVENTEEN Mnet's Today's Room EP 12...
ROSAS
131 просмотр
04:21
SUPER STAR BAGAMOYO DARAJA TATU NGAZI YA MKOA PWANI
13 просмотров
11:36
Садовая закупка. Выбираем нектаный материал
Хобби каждый день
838K просмотров
05:56
Томленая Рулька – Тает во рту. Бюджетно, Вкусно, Сытно
Тихон Готовь и Путешествуй
375K просмотров
00:22
Когда важна каждая деталь
Национальные проекты России
97K просмотров
10:57
Голос. Четвертьфинал. Лучшие моменты выпуска от 10.04.2026
Голос
1M просмотров
02:09
Советы врача: осторожно бады!
Пенсионер ТВ
101K просмотров
00:33
Михаил Боярский стал дедушкой в седьмой раз! 🎉
Дорожное радио
59K просмотров
00:19
Христос воскресе!
Екатерина Весна
1M просмотров
00:09
А ВЫ ЗАМЕЧАЛИ ЭТО?
Стас Ай, Как Просто!
1M просмотров
01:36
Школа будущего в СЗАО- когда откроется новый корпус Курчато...